Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aah nahisi joto sio joto baridi sio baridi
Mmh nakuwa katoto katoto we unavyonifariji [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Najiona katoto shunie mimi [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kibibi gagula [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
nakutafta sana
 
Jamani maisha ndio hayahaya matamu halafu mafupi ukipata wa kupendana nae mpendane tuuuu mkiachana utapata mwingine mtapendana pia sawa eeeenh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]

Shunie nishasema we ni nani unibishie
 
Back
Top Bottom