Pole sana jitahidi usome hivyo hivyo [emoji1787]Hmm kuna maneno mazito humu!
Daaaaaaaaah kikubwaaa uhaiiHivi babe upo jf kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungeona tu ninavyotiririka
Daah! kila nikijitahidi naona unanitia wivu[emoji1][emoji1] ngoja nikimbie bora nimetoa dukuduku languPole sana jitahidi usome hivyo hivyo [emoji1787]
Na kweliiiii kabisaaaaTulia bhana,mwana kulitafuta mwana kulipata [emoji16]
Sina habariiiiiiiiiiNa kweliiiii kabisaaaa
Kwa kweliiiiiiUkimpata mtu mnapendana pendaneni tu jamaniiiii yaani pendaneni, maisha ndio haya haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usiondoke bwana bado namalizia ujueDaah! kila nikijitahidi naona unanitia wivu[emoji1][emoji1] ngoja nikimbie bora nimetoa dukuduku langu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuriiii ulinipumzishaaa haukuniachaaaUkiacha achaaaa kweli sio unabeep beep tu jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipyaaa kinyemiiiiiiiiiSina habariiiiiiiiii
Enziiiii zileeee nilikuwa najibu usjaliii ni wajibu wanguuuMungu azidi kukuweka tu jamani kwa ajili yangu. [emoji120][emoji120] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] uendelee kunipenda na kunijari hivihivi
Bora kingekuwa kipya ningesema kipyaKipyaaa kinyemiiiiiiiii
HahahahahahaBora kingekuwa kipya ningesema kipya
Hahahah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usiondoke bwana bado namalizia ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah!
aah wewe hunitakii mema kabisa,
Hayo maneno yako ya kumsifia huyo mtu wako niliyaona insta akisifiwa bwana laizer[emoji1][emoji1]