Mimi sijambo pia shunie, asante sana shunie.. Nilikumiss zaidi, nmefurahi kukuona hapaSafiiii baba wawili jamani za wewe apo nimekumiss tu mimi
Mwambie alifanyaa vibaya kumpaa talaka mjombaa wakoMimi sijambo pia shunie, asante sana shunie.. Nilikumiss zaidi, nmefurahi kukuona hapa
Nimefurahi sana kukuona pia baba wawili hope unaendelea vizuriMimi sijambo pia shunie, asante sana shunie.. Nilikumiss zaidi, nmefurahi kukuona hapa
Hiiii, Wahuni siyo watu wazuri,....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anko wangu mie nimepatikana mpwa wako
Heh...Hizo bingiri bingiri mpaka chini
Nakupa pingili bafuni kabatini. [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sanaaa anko wangu yaani nimepatikana mimiHiiii, Wahuni siyo watu wazuri,....
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Heh...
Tulia bhana,mwana kulitafuta mwana kulipata [emoji16]Mwambie alifanyaa vibaya kumpaa talaka mjombaa wako
Hivi mnasema nani etiiiii halafu mimi sina habari mjueTulia bhana,mwana kulitafuta mwana kulipata [emoji16]
Naendelea vizuri mtoto mlito....popote umuonapo dada angu, utamfikishia salamuNimefurahi sana kukuona pia baba wawili hope unaendelea vizuri
nitakunong'onezaUnasemaje
Mimi sijamuona mwaka huu baba wawili labda umfate pmNaendelea vizuri mtoto mlito....popote umuonapo dada angu, utamfikishia salamu
Sawa shunie, nitafanya hivyoMimi sijamuona mwaka huu baba wawili labda umfate pm