Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,545
- 63,023
Niambie Husna wa Binamu ObeT wa sakayo
Niambie Husna wa Binamu ObeT wa sakayo
Sawa kaka...saa 12.30 itapendeza
SalaamSalaam wakuu
Nzuri tu...huku kwema tu habari njema tumeongeza familiaPoa auntie, habari za masiku auntie? Kwema huko?
Mbona haujafa huuleo jioni nitakua na kikao humu, ajenda ni..
kufufua uzi wetu.
watangazie wenzio
...
Vincii
Hv alishakujibu?!Jioni ya saa ngapi mkuu?
Sijambo MamboHusna hujambo ?
usinifokeeUnanitaka nini ?
Sawa mjumbesaa 12.30 itapendeza
NilikumithiiiNiambie Husna wa Binamu Obe
Hongereni sana auntie!! Mungu awatangulieNzuri tu...huku kwema tu habari njema tumeongeza familia
Nilikumithii pia shemeji yangu.Nilikumithiii
Kikao Kikao..Unataka tukupige ww yaani muvi nzuri unasema mauongo ya director.?
Nimeona mtu anataka kukupa massage..Mgongo na kiuno havina kazi
Nenda love massage.. wakakufanyie vituAnanitania tu huyo mkuu..
Ndio sehemu gani hiyo.?
Njoo kilima hewa huku ,tupige storyNipo kigoma kaka..sio dar
Mangi vipi...Njoo kilima hewa huku ,tupige story
Kaka..Shida kwenye malipo..
10k kuipata nzima mpaka nijinyime hasa mwezi mzima