Namshukuru Mungu, afya inaimarika, hofu kwako tuu mamaanguNiambie Mjep Umeamkaje wewe
Namshukuru Mungu, afya inaimarika, hofu kwako tuu mamaanguNiambie Mjep Umeamkaje wewe
Kwa kweli Namshukuru Mungu sijambo! Niko na afya njema na amani tele!Namshukuru Mungu, afya inaimarika, hofu kwako tuu mamaangu
Tafadhali endelea kuchukua tahadhari, osha mikono yako kwa sabuni na maji tiririka, usisahau kuvaa barakoa Sakayo mtu wa watu, hanaga makuuKwa kweli Namshukuru Mungu sijambo! Niko na afya njema na amani tele!
Ahsante RafikiPole mnooo
Salama Sakayo,, habari za kwako? Haujambo weweHabari za wewe eti jamani
Kumbe okonkwo ni mjombaa mjombaaaKhaaa
Baba wawili jamani![]()
Nzuri sanaHabari
Eeenh baba wawiliKumbe okonkwo ni mjombaa mjombaaa
Sawa sawa shunie... Mambo vp? Uko poa pande hizo?Eeenh baba wawili
Mambo poa baba wawili sijui upande wako jamaniSawa sawa shunie... Mambo vp? Uko poa pande hizo?
Mimi sijambo, nipo naendelea na mfungo kama kawaida...Mambo poa baba wawili sijui upande wako jamani