Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Umuhimu tena? Aisee
Umuhimu tena? Aisee
Yanaenda poa baba wawili pole na mfungi jamaniMimi sijambo, nipo naendelea na mfungo kama kawaida...
Mambo yako yanaendaje Shunie?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umuhimu tena? Aisee
Mfungo upo poa shunie... Karbu tufuturuYanaenda poa baba wawili pole na mfungi jamani
Baba wawili jamani asante sana naomba kujua mpishi tu mimi
[emoji23][emoji23][emoji23]kazi ya mama wawili hyoBaba wawili jamani asante sana naomba kujua mpishi tu mimi
Woyoooooooo mwanamke jiko bwana mpe hongera take mama wawili nilijua utanidanganya umepika wewe na mkono was mwanamke unajulikana bwana[emoji23][emoji23][emoji23]kazi ya mama wawili hyo
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa shunie... Umeshinda salama huko? Mambo yako yanaenda?Woyoooooooo mwanamke jiko bwana mpe hongera take mama wawili nilijua utanidanganya umepika wewe na mkono was mwanamke unajulikana bwana
Umeona eeehh
Uko wapiNdioo
Yanaenda baba wawili sijui upande wako[emoji16][emoji16][emoji16] sawa shunie... Umeshinda salama huko? Mambo yako yanaenda?
Naona unarudia avatar zako za sakayo yulee tuliyekuwa tunakesha chitchat mpaka usiku wa manane bado ile ya nguo ya njano dadaUko wapi