Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nimeingia kwa ajili yako laa azizi kipenziNaona unaendelea vizuri babe mpaka jf umeingia
Nimeingia kwa ajili yako laa azizi kipenziNaona unaendelea vizuri babe mpaka jf umeingia
Ndioooo shemAisee
Mbona kumekucha tokea alfajiri?Kumekucha sasa jamani
Nzuriii shemPoa kabisaa
Habari
Dada vipiiiiAisee
Kama haujisikii vizuri pumzika tu babeNimeingia kwa ajili yako laa azizi kipenzi
Kho kho kho kho kho kho khoNimeingia kwa ajili yako laa azizi kipenzi
AiseeKama haujisikii vizuri pumzika tu babe
PoaDada vipiiii
HayaNzuriii shem
SawaNdioooo shem
Habari za wewe eti jamani
Hatujambo kabisaa jamani mzee ake ShunieNawasalimu humu
Hatujambo we mzee vipi umeshavuka bodaNawasalimu humu
Ebu ukooooo naona Behaviourist ako na ban sijui kaipata wapi angetulia zake makapuku wala asingepataKho kho kho kho kho kho kho