Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mie nasoma tuu jamaniFwala wewe
Mie nasoma tuu jamaniFwala wewe
Alinisemesha vibayaEbu ukooooo naona Behaviourist ako na ban sijui kaipata wapi angetulia zake makapuku wala asingepata
Mmh kakusemeshajeAlinisemesha vibaya
AlinifokeaMmh kakusemeshaje
Hahhaha kwahiyo ukamreport au mbona sijaona alipokufokeaA
Alinifokea
Pole mnoooWazambia bado hawajalegeza
Wala sikumripoti sinagaa hiyo tabia, siku nyingi saaanaHahhaha kwahiyo ukamreport au mbona sijaona alipokufokea
mtu wa watu SakayoWala sikumripoti sinagaa hiyo tabia, siku nyingi saaana