lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Hahahahaha kweli umemchoka, mi naona baada ya kuachana na Chris akang'ara zaidi.Mimi nafikir kwa sasa hayuko moto kama mwanzo kipind yupo na Brown ila sasa limebaki jina kiufup angekuwa Bongo angekuwa hana tofaut na dudubaya
Jina Langu Ally sasa lazima nile nisipokula nitakonda mazima and I beliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiive yaaaaaaaaaaaaaaHuo hata mimi naupenda.
Mimi napapenda, pia wanavyo cheza.Jina Langu Ally sasa lazima nile nisipokula nitakonda mazima and I beliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiive yaaaaaaaaaaaaaaNapenda sana hapo
SwalamaaHabari ya saa hii waungwana!
Hahahahaha kweli umemchoka, mi naona baada ya kuachana na Chris akang'ara zaidi.
Mkuu ni ndoto at workMkuu huko umeenda kutalii, au ni mahaba ya La liga yamekupeleka huko?
labda Google ndio imemchoka kwa sasa nikianza kuandika Rihanna maneno yanakuja automatic
Rihanna Sex Tape
ila mwanzo nilikuwa nikiandika Rihanna naletewa
Rihanna live show
Rihanna umbrella
Mmmh
PNC 1 kwenye mziki ni mbovu mweer!!!
safi kabisa mkuu Tupo hapaaHabari ya saa hii waungwana!
Okei, ila nyimbo zake ziko kama anarudia rudia za zamani hivi, kwa mfano hiyo work, ni mpya ila ktk masikio yangu naifananisha na track yake moja hivi alikuwa ktk video amevaa kama vazi la pundamilia/ chui hivi.Love on the brain, kiss is better, work and etc.
wanacheza poa saaana japo team Domo waliita ni muviMimi napapenda, pia wanavyo cheza.
Sidhani kama ni kweli, mimi zote naziona mpya.Okei, ila nyimbo zake ziko kama anarudia rudia za zamani hivi, kwa mfano hiyo work, ni mpya ila ktk masikio yangu naifananisha na track yake moja hivi alikuwa ktk video amevaa kama vazi la pundamilia/ chui hivi.
Naona baadhi ya nyimbo zake anamiks zake za zamani na kupata mpya! Ila anajitahidi.
Hata Queen Elizabeth yupo hot japo ana 90+ yrs hvyo hilo la hot lisikutishelabda, mi namuona yupo hot bado .
Hao chuki tu zimewajaa, wamuambie na bro wao nae acheze muv kama hyo.wanacheza poa saaana japo team Domo waliita ni muvi
Hahahahaaa sawa sawa.Hata Queen Elizabeth yupo hot japo ana 90+ yrs hvyo hilo la hot lisikutishe
Ali k ni fundi, na kwenye hicho kipande ndo ameonyesha uwezo zaidJina Langu Ally sasa lazima nile nisipokula nitakonda mazima and I beliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiive yaaaaaaaaaaaaaaNapenda sana hapo
Hahahahamkuu hizi ni fani za watu ndio mana nikamwambia yule jamaa aseme bungeni atoe picha ya askar aweke ya Diamond
Hao chuki tu zimewajaa, wamuambie na bro wao nae acheze muv kama hyo.