Tiba za coronaNini tena hicho jamani love!
Mbona mtihani huuEbu weka picha bwana
HahahahahaTiba za corona
Sasa nakohoa kidogo nifanyeje jamani hospital ukienda hata kama haumwi corona wanakupeleka kwa wenye coronaHahahahaha
Utakatika utumbo ujue
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama nyie na mimi nipate mume jfMbona mtihani huu
Mke wange anakijua kifua changu
Yup humu
I'm on that good kush and alcohol
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama nyie na mimi nipate mume jf
Sasa nakohoa kidogo nifanyeje jamani hospital ukienda hata kama haumwi corona wanakupeleka kwa wenye corona
Ngoja wenye manywele yao wakusikie
Nioe tu wanaume wenyewe mko wachacheHahahahh hatujakutana humu, Kwanza Yeye Alikua haijui JF
Kama bado, Me nakuoa Ndoa ya mitala unasemaje ? Unakua Bi mdogo
I'm on that good kush and alcohol
Ukishapelekwa uko karantini na kulivyo na hali yake unaweza kufa bila kuumwa huo ugonjwa
Tatizo linaanzia hapo
Ahhahaa
Ukishapelekwa uko karantini na kulivyo na hali yake unaweza kufa bila kuumwa huo ugonjwa
Exactly tuk wachacheNioe tu wanaume wenyewe mko wachache
Jitibu tuu dada
Nyie mliooa ndio tunawataka watu wazima wenzetu ambao hawajaoa kusumbuana tu utoti mwingiExactly tuk wachache
Hapa Bado ndio itafika ile kipindi Wanawake Saba kwa Mwanaume mmoja, kwenye bible zenu huko wameandika
But Sina Mke humu na Wala Sijaoa kabisa, isije ikawa najikosesh liziki kijinga jinga
I'm on that good kush and alcohol