Makapuku Forum

Makapuku Forum

Uzi wa arsenal uko elfu 48 na ushee, uko mbali sana! Kwa hiyo humu mnajadili nini??
Humu ni Makapuku Forum tunajadili Habar Mchanganyiko MF sport siasa udaku swaga za kitaa na pia kuidiscuss Fc Barcelona kwa maajabu inayoendelea kuyafanya pasipo kumsahau King Messi mzee wa kumsuuza Wenger kama 4 mguuni mwake[emoji1]
 
Kaka nlikuwaga na jez yangu ya man u cjui iko wao cku hiz

Akifukuzwa lvg ntaitafta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanzo wakat anakuja mlimsifia sana kama mlivyompa sifa Depay kuwa ni zaid ya Neymar kumbe yy na kocha wake magarasa
 
Mi team cr7
Kumbe wewe Team Morocco[emoji1] [emoji1]
1463345531102.jpg
 
Humu ni Makapuku Forum tunajadili Habar Mchanganyiko MF sport siasa udaku swaga za kitaa na pia kuidiscuss Fc Barcelona kwa maajabu inayoendelea kuyafanya pasipo kumsahau King Messi mzee wa kumsuuza Wenger kama 4 mguuni mwake[emoji1]

Ooooh!
Hapo sawa, nilikuwa najiuliza huu uzi kuna nini wanajadili mbona unakimbia sana??
Hongera zako kwa kubeba ndoo ya la liga!!
 
Back
Top Bottom