Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ijumaa inakaribia, wale wa kujipaka sanitizer na kuvaa barakoa wanajiona kama mji wote wanumiliki wao. na kwa kweli sanitizer imekuja wakati mzuri, hakuna haja ya kuulizana 'what did you wear?" mambo ni je una santinaizer

Mjomba wangu Lee kaenda mbali kwenye masuala ya barakoa, kachukua sidiria (bana madhiwa) ya aunt na kutengeneza barakoa, nimeshindwa kumpiga picha maana kipindi hiki cha karantini yeye kakaa kantini na barakoa yake yenye picha za love.
 
.
20200416_212847.gif
 
Happy weekend wadau. Stay home, stay safe ndo msemo wa hapa Liputu nilipokuja kuangalia mshamba yangu ya korosho.

ABJ unanipa ki;la sababu ya mimi kuwa na tabasamu pamoja na changamoto za kila siku. Una kila sababu ya kujua hili
 
Nachojua leo ni weekend na sina sababu ya kutkukusalimia wewe mdau wa Jukwaa hili linalonipa sababu ya kuwepo, wewe ndo sababu mimi niko hapa na kwa taarifa yako tu, nimekutana na Jose Cuervo usiku huu tunaifurahia karantini, Tetramelyz unaonekana kwa nadra sana hapa jamvini au lockdown imekufanya ushindwe kutouchdown mitaa hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom