Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 5, 2020 #379,781 Kisirani ni hali ya mtu kuanzisha visa vinavyopelekea mfarakano baina yake na mtu mwingine ambaye anaweza kuwa mke, mume, mpenzi au rafiki.
Kisirani ni hali ya mtu kuanzisha visa vinavyopelekea mfarakano baina yake na mtu mwingine ambaye anaweza kuwa mke, mume, mpenzi au rafiki.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 5, 2020 #379,782 Ukiwa na mtu kisirani kwenye mahusiano utaona dunia chungu yeye ni kuanzisha vituko tu ili mgombane tu asikie raha
Ukiwa na mtu kisirani kwenye mahusiano utaona dunia chungu yeye ni kuanzisha vituko tu ili mgombane tu asikie raha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 5, 2020 #379,783 Kisirani ni kibaya sana unaweza usijijue una hii tabia ila ukiambiwa na watu wako wa karibu jitahidi kubadilika
Kisirani ni kibaya sana unaweza usijijue una hii tabia ila ukiambiwa na watu wako wa karibu jitahidi kubadilika
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 5, 2020 #379,784 Leo tulikuwa tunaongelea kisirani ukijijua una hii tabia badilika yaani badikika utakuwa unagombana na kila mtu kwenye mahusiano
Leo tulikuwa tunaongelea kisirani ukijijua una hii tabia badilika yaani badikika utakuwa unagombana na kila mtu kwenye mahusiano
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 5, 2020 #379,785 Muwe na usiku mwema kesho sijui tutaongelea nini ni hapo nitakapoonyeshwa maono ya kuongelea kitu cha kesho
Muwe na usiku mwema kesho sijui tutaongelea nini ni hapo nitakapoonyeshwa maono ya kuongelea kitu cha kesho
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Apr 6, 2020 #379,786 Shunie said: Muwe na usiku mwema kesho sijui tutaongelea nini ni hapo nitakapoonyeshwa maono ya kuongelea kitu cha kesho Click to expand... Hahahaha
Shunie said: Muwe na usiku mwema kesho sijui tutaongelea nini ni hapo nitakapoonyeshwa maono ya kuongelea kitu cha kesho Click to expand... Hahahaha
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Apr 6, 2020 #379,787 Shunie said: Kisirani ni kibaya sana unaweza usijijue una hii tabia ila ukiambiwa na watu wako wa karibu jitahidi kubadilika Click to expand... .
Shunie said: Kisirani ni kibaya sana unaweza usijijue una hii tabia ila ukiambiwa na watu wako wa karibu jitahidi kubadilika Click to expand... .
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 6, 2020 #379,788 Behaviourist said: .View attachment 1410341 Click to expand... Eenh bwana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 6, 2020 #379,789 mtu chake said: Hahahaha Click to expand... We mzee unacheka nini subiria maono ya leo
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 6, 2020 #379,790 Shunie said: Kisirani ni hali ya mtu kuanzisha visa vinavyopelekea mfarakano baina yake na mtu mwingine ambaye anaweza kuwa mke, mume, mpenzi au rafiki. Click to expand... Aminaa
Shunie said: Kisirani ni hali ya mtu kuanzisha visa vinavyopelekea mfarakano baina yake na mtu mwingine ambaye anaweza kuwa mke, mume, mpenzi au rafiki. Click to expand... Aminaa
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 6, 2020 #379,791 Shunie said: Leo tulikuwa tunaongelea kisirani ukijijua una hii tabia badilika yaani badikika utakuwa unagombana na kila mtu kwenye mahusiano Click to expand... Ameeen
Shunie said: Leo tulikuwa tunaongelea kisirani ukijijua una hii tabia badilika yaani badikika utakuwa unagombana na kila mtu kwenye mahusiano Click to expand... Ameeen
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Apr 7, 2020 #379,792 Shunie said: We mzee unacheka nini subiria maono ya leo Click to expand... Hahahaha, mie hucheka muda wote , umeleta hayo maono?
Shunie said: We mzee unacheka nini subiria maono ya leo Click to expand... Hahahaha, mie hucheka muda wote , umeleta hayo maono?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 7, 2020 #379,793 Kiburi...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 7, 2020 #379,794 mtu chake said: Hahahaha, mie hucheka muda wote , umeleta hayo maono? Click to expand... Ndio nimeoteshwa hapa naandika
mtu chake said: Hahahaha, mie hucheka muda wote , umeleta hayo maono? Click to expand... Ndio nimeoteshwa hapa naandika
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 7, 2020 #379,795 Kiburi ni ninii..
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 7, 2020 #379,796 Kiburi ni hali ya kujiona na kujidhani kuwa umekamilika katika yote na juu ya yote, na hivyo huhitaji neno wala ushauri wa kitu au mtu yeyote.
Kiburi ni hali ya kujiona na kujidhani kuwa umekamilika katika yote na juu ya yote, na hivyo huhitaji neno wala ushauri wa kitu au mtu yeyote.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 7, 2020 #379,797 Kiburi ni kati ya tabia mbaya sana na ni ngumu sana kujigundua kama unayo.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 7, 2020 #379,798 Mtu mwenye kiburi anapenda kusikilizwa ila yeye hapendi kusikiliza wengine.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 7, 2020 #379,799 Mtu mwenye kiburi hapendi kushauriwa na wengine ila yeye anapenda kushauri wenzie
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 7, 2020 #379,800 Mtu mwenye kiburi hapendi kukosolewa ila yeye anapenda kukosoa kwa kila jambo.