Binamu Shunie, mie naibariki hii combo, au unasemaje binamu yangu?!
Binamu Shunie, mie naibariki hii combo, au unasemaje binamu yangu?!
Safi binamu, na si umemwmbia huyu Lee kwamba aache presha, mi ni nyama ya hamu tu kwako!!Ndio namwambia hapa
Mtoto wa Kimvita mimi, babu akatua Tanga na kisha kwenda kuweka makazi Umatumbini... utaniweza wapi kijana!! Labda umtishe huyo Behaviourist.Nawarogaaaa woteeee
Huyo mwanaume jamani mbona muoga hivyo anamuogopa mkewe
Nikimtishaaa huyo nimewatishaaa nyoteMtoto wa Kimvita mimi, babu akatua Tanga na kisha kwenda kuweka makazi Umatumbini... utaniweza wapi kijana!! Labda umtishe huyo Behaviourist.
Kama kweli vile
Na mimi nimeshangaa au sasa hivi ukisahau password unatakiwa ubadili na idHahaaa!! Binamu Shunie, uncle ako anasema eti alisahau password! Hivi unavyomuona huyu uncle wako ni wa kusahau password kweli huyu?! Halafu mkikutana hebu muulize taratibu... kusahau password na ubatizo wapi na wapi!!!
Na wewe mrudishe ulikomtoaa binamu
Mnanichanganyaaa nyiee watuuMimi ni binamu yako sio nyama ya hamu
Unachanganyikiwa kwa ajili gani tena nipo kwa ajili yako nimeamka kichwa kinaniuma umaMnanichanganyaaa nyiee watuu
Hahaaa namrudishaje sasa ataondoka tu ana majukwaa yake huyo jukwaa la siasa na intelligence anashusha nondo zake ataondoka tuNa wewe mrudishe ulikomtoaa binamu
Lazima kikuumee make na mm kinaniumaa na huyo binam wakoUnachanganyikiwa kwa ajili gani tena nipo kwa ajili yako nimeamka kichwa kinaniuma uma
Sawaaa bhanaaaHahaaa namrudishaje sasa ataondoka tu ana majukwaa yake huyo jukwaa la siasa na intelligence anashusha nondo zake ataondoka tu
Naumwa kichwa kiukweli achana na matani ya kapukuLazima kikuumee make na mm kinaniumaa na huyo binam wako
Huyu mtu anatania tuSawaaa bhanaaa