Hahaaa!! Binamu Shunie, uncle ako anasema eti alisahau password! Hivi unavyomuona huyu uncle wako ni wa kusahau password kweli huyu?! Halafu mkikutana hebu muulize taratibu... kusahau password na ubatizo wapi na wapi!!!Jamani nilisahau Password yangu.