Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Maugomvi yetu yote yatakuwa wazi makapuku
Nani kasemaaaJamani kwamba yeye ndio kasababisha
babe wako hatumuelewi, leo comedy kesho magazeti,, kuna siku tutatangaziwa mpira hapa, amini hilo
![]()



ndiyo maana niliwamiss mnajua Nipa cheko nyie viumbe


Kwamba likizo ya miezi miwili imeishaKwamba likizo ya miezi miwili imeisha



shunie embu uko..naianza kesho 







Ujue nilimtungia tu ili anijibu na kweli akanijibu
Asubutuuuu hakuna cha likizo wala nini
Ujue nilimtungia tu ili anijibu na kweli akanijibu


nilihisi Ni kweli eti.
Bebe umeshafikaNani kasemaaa
Bebe badoooo kidogooo ila usiofu niko poaaBebe umeshafika



Saa ngapi unafikaBebe badoooo kidogooo ila usiofu niko poaa
Wenyewe hatujakumiss hataNimewamiss family friend wangu!![]()

Walaa nilitaka kumskia tu ataongea au
Bebe badoooo kidogooo ila usiofu niko poaa
Husna obe au tumosaNimewamiss family friend wangu!![]()
Miezi miwilii ishaishaaa kweli au uko jupiter