Asante sana binamu.. Uwe na jumatatu njema hukoLee anko Asante kwa magazeti.
ningendako binamu nakuona na naamini ulikuwa na weekend tamu.
yna2 mapumziko mazuri na chochote utakachofanya basi lifanikiwe, kumbuka; face, tackle and finish a winner.
Wadau wote nawatakia j3 njema na wiki yenye mafanikio. Ndugu yenu j3 ina mambo matatumatatu na nayamudu.
Kwaresma njema
Kwema auntie?
Happy birthday to u mkwepu jr Mungu akutunze kwenye ubora wako uleule baba [emoji847] [emoji8][emoji8]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkwepu nilikuwa nataka kusikia sauti yako tu hatimaye umeongea Behaviourist ukuje mkwepu kaongea huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkwepu nilikuwa nataka kusikia sauti yako tu hatimaye umeongea Behaviourist ukuje mkwepu kaongea huku
!!!
Rafiki ulipotelea wapi tena?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo family friend wetu bado hatujamkubali baba wawili[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba robot limezungumza.. Family friend wenu ana hatari sana