Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Tuonane tena baada miezi miwili..muda na siku Kama hii.




Nawapendaga mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app





Nawapendaga mjue.Sent using Jamii Forums mobile app





Nawapendaga mjue.Eeh.. Kivuruge tenanakupenda pia kivuruge wangu

Hahahhaa baba wawili bwana huyo mtu ni kivuruge acha tu sijui angekuwa anakunywa pombe sijui ingekuwaje jamani
Leo kunywa hata bia moja basi! Baharia gani hata pombe hunywi!




Simjui bwanaMama D...
Ile account vipi?
Tutakumiss mwaya kibonge mwenzanguTuonane tena baada miezi miwili..muda na siku Kama hii.Nawapendaga mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana huwa namwangalia na drama zakeMjombaa baharia,hapa ndio unapofeli![]()
Acha tu baba wawiliMjomba Baharia mbona sio kivuruge shunie![]()
Kuna kitu nilimuulizaaMjombaa baharia,hapa ndio unapofeli![]()
Zipiii jaman usimsikilizeeNdio mana huwa namwangalia na drama zake
Simjui bwana