Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
Mzima kibonge mwenzangu
Wewe wa niniShunie..
Nataka IG account ya yule video vixen wa mario kwenye nyimbo ya Inatosha.
Kikubwaa uhaiiWewe wa nini
Bado najiuliza zile AA naishia kusema kikubwa uhaiMuwe na jumapili njema wapenzi [emoji120] mliofanikiwa kwenda kanisani mbarikiwe sana sana mliokosa Mungu awape kibali jumapili ijayo muweze kwenda [emoji120]
Unaniuliza mimi ndio niliandika unatakiwa ujiulize wewe uliyeziandika mimi sikukutumia AA nilikutumia no tuBado najiuliza zile AA naishia kusema kikubwa uhai
Mm sikuziwekaa hujuii nimekwazika sana bhas tu...ila hizo AA hazina impacts ni utambulisho wa hudumaUnaniuliza mimi ndio niliandika unatakiwa ujiulize wewe uliyeziandika mimi sikukutumia AA nilikutumia no tu
Sasa umekwazika mimi ndio nimekukwaza halafu unakuwa mkali kwangu eti nilikuwa nakujaribu kivipiiii hii mada nilishasema jana tuifunge jamani naomba tuifunge acha nipambane na hali yanguMm sikuziwekaa hujuii nimekwazika sana bhas tu...ila hizo AA hazina impacts ni utambulisho wa huduma
Nakuona unafurahia mashairi ya shangazi [emoji2][emoji2] ankooHahahaha, niambie ankoo
AmenMuwe na jumapili njema wapenzi [emoji120] mliofanikiwa kwenda kanisani mbarikiwe sana sana mliokosa Mungu awape kibali jumapili ijayo muweze kwenda [emoji120]
Wewe wa nini
Muwe na jumapili njema wapenzi [emoji120] mliofanikiwa kwenda kanisani mbarikiwe sana sana mliokosa Mungu awape kibali jumapili ijayo muweze kwenda [emoji120]
Wewe wa nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu.
Cha muhimu ni hii pumzi tuu.
MmhFanya hima.
Makubwa hayaKuna mdogo wangu anataka kutoa video ya nyimbo yake..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baba wawili bwanaNakuona unafurahia mashairi ya shangazi [emoji2][emoji2] ankoo
Nikiwa mkubwa nataka niwe family friend wenu![emoji847][emoji847][emoji847]Unaniuliza mimi ndio niliandika unatakiwa ujiulize wewe uliyeziandika mimi sikukutumia AA nilikutumia no tu