Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mi niliuliza jameniWashindweeee walegeeee....nipeee busuuu iwaumeee
Umewashtukia etiila nyie ni noma sana! yaani mmeachana kisayansi, hakuna hata mtu anaejua halafu bado ni mabest ili kuendelea kupumbaza watu!!
Ndio sio lazima yeye atuelewe kama wenyewe tunaelewana
Hatujaaachana wala hatutaachana tatizo la huyu mwanaume kubebishana na kila mtu humu babe watu wanajua tumeachana na mimi huwa nakaa kimya namuacha na mambo zake