Makapuku Forum

Eti huyu mwanafunzi anajidai kisa anajua kuongea sana kingereza.

Mwalimu wetu wa English alikua anapenda kutusema hivi..RIP
 
Watu huweka avatar wanazo fanana nazo au vitu wavipendazo..
Naimani uliweka hyo avatar coz she's beautiful kama ww.

Itakua mndali ni mnene kama hayo mabonge kwenye avatar yake[emoji23][emoji23]
Hahahaha mkuu mi nina mwili wa stick ya kuchapia watoto

Hiyo avatar niipenda kulingana na harakati za maisha na mapito yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…