Ooh ukauchuna [emoji848] ebu ninunulie ile jezi kama uliyovaa ile siku [emoji847][emoji847]
Siku ile nilikuwa nimefulia woiii bado kidogo nikuombe hela nikafa na tai shingoni kama mjerumani [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Kwani mnaongelea nini? Story inakuja halafu inakata hiviSema najiandaa kwenda kule tandale wameniibia taa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmeelekezwaa huko wanakokata magar
Yep kiongoziHahahahaha nakubaliiiii mkuuu
Jipya watu wamepotea..
Nakuona mzee wa kubadili mafaili..
Nakala imfikie Frem zero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wake zako ndo maana wanakuacha [emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni warabu wa pemba..Kwani mnaongelea nini? Story inakuja halafu inakata hivi
Da huyo shedede sijui kapotelea wp?!Popote mlipo ninyi watu mbarikiwe, natumaini mu wazima wa afya..Nidhamu na Hekima viwe nguzo za maisha yenu.
Muongo huu mpya uwe wa heri na baraka kwenu..
(Nimejikuta nawakumbuka tu ndugu wa humu...wa kipindi hicho Makapuku ikiwa makapuku kweli)
List itakua updated kadri nitakavyokumbuka majina
HayaAhsante sana mkuu
Id yako ya zamani iliitwaje??
Mjombaa kwani kuna tatzo?Kwani mnaongelea nini? Story inakuja halafu inakata hivi
Jipya watu wamepotea..
Wengine wameoa
Wengine wameolewa
Wengine wameachika
Wengine wamezaa
Wengine ni michepuko
Wengine tupo singo
Yaaniii ni tafrani tuu
Yule yule wa siku zote[emoji2]
Fanya kama hujaona hii post
Asante sana!Nashukuru mnooo jamani
Nawe pia asubuhi njema
Shedede alikuwaga mlinzi ila sku za mwanzoni alikuwa msumbufu huyu mtu
Nothing fuckks harder than Time..
Hawa ni warabu wa pemba..
Kuna muda shunie anakua mwenyewe hapa anajiongelesha huwezi muelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kweli kabsa, waarabu wa pemba wanajuana hawa[emoji23][emoji23]Hawa ni warabu wa pemba..
Kuna muda shunie anakua mwenyewe hapa anajiongelesha huwezi muelewa[emoji23][emoji23][emoji23]