Huko ni kushangilia jamani anko ake Shunie.....hizi mbio zinakimbia au kukimbulia Valentine's day? Maana naona a lady in red anachomoka
Usitake kumharibia anko wako buana, mwambie huyo mwantumu apambane na Khali yake..Na mwantumu asemeje
ABJ wangu mwenyewe hebu baadaye njoo chemba, nna hitaji la kimahaba na mtatuzi ni wewe.








Hahahaha, hapana ni sehemu ya salam tu
Nashukuru sana jamani kwa salam za kimya kimya mzee wake ShunieHahahaha, hapana ni sehemu ya salam tu
Hahahaha, nikutakie jioni njemaNashukuru sana jamani kwa salam za kimya kimya mzee wake Shunie
Hahaha nipo vile vile jirani, usimwamini sana mtoto mlito,mtoto wa mjn huyo