Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usijali.. nitaongeza mpaka mwisho wa dahari..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usijali.. nitaongeza mpaka mwisho wa dahari..
Hahahahah nimefikisha ujumbe nilicheka sana nilivyokusomaUmbea umejifunza wapii.?
Hahahah[emoji2296]Tobaaa..Watakuja kutuua nayo hao waliochukua siku moja
Hizi tafiti hiziDoh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga wewe nimecheka sanaKumbe sio roboti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijambo mimi hofu kwakoNakusalimiaa sana
Binafsi inanikera sana..Hahahahah nimefikisha ujumbe nilicheka sana nilivyokusoma
Chochote utakachoandika kwangu mimi ni cha maana sana lazima kipate like yangu.alamsiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alinijibu hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe si umemuignoreBinafsi inanikera sana..
Ila jamaa hana noma naona bado ananimwagia likes mpaka sasa
Dah! Yawezekana nipo kwenye hili kundi.Khaaaaa jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1349196
Kuna option ya kuview ignored. .ndio natumia kuona.Alinijibu hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe si umemuignore
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwamba na wewe unapenda sana eeenhDah! Yawezekana nipo kwenye hili kundi.
Yaani Pilipili na vyakula vichungu huwa napenda saana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaview ya nini na umemuignoireKuna option ya kuview ignored. .ndio natumia kuona.
Unaweza amka ukakuta notification 120 halafu zote ni yeye ndio kakupa likes tu.
Kuna sehemu umenionyesha kua kakoment ndio nika viewSasa unaview ya nini na umemuignoire
Ooh sawaKuna sehemu umenionyesha kua kakoment ndio nika view
Yaani sana kama chakula vile. Nasali , kufunga na bidii kwenye mazoezi ili hiyo hali iishe! Lakini waaapi![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwamba na wewe unapenda sana eeenh