Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sakayo Mbona unazingua we kibibi kizee hizo emoji unamtumia nani kama Ugomvi
Au ndio Mapombe ya Weekend
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Relax mkuu!!

Kila nikiandika comment nakutana na hizo emoj!! Ikabidi nizitupiee
 
Jpili njema wadau. Ndugu yenu narudi ninapojikinga mvua.

Mwanzo mwema wa wiki.

Kama mlikuwa mmejisahaulisha, makaburi hayajajaa, nawakumbusha
 
Back
Top Bottom