Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
NakumisiiiiiiAbeeeee
Babee
NakumisiiiiiiAbeeeee
Babee
Shikamoo mzeee wangu...mzee wako nani? Ijumaa leo usiniite majina ya kunikoseaha wikend
Shikamoo mzeee wangu
Shkamoo x darlingShikamoo mzeee wangu
Uko wapi eti jamaniNimekuja unanichomesha mahindi muda wote hadi yameungua
HahahaahahhaNakumisiiiiii
Mbona unanigongea likes kimya kimya, unataka kuninyima nini eti jamaniDah....
Makapuku woyoooo[emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mzee wako nani? Ijumaa leo usiniite majina ya kunikoseaha wikend
Pole mnooooo jamaniJapo mempoteza mpendwa wangu, jirani yangu, kaka yangu kipenzi na shemeji yangu lakini kubwa zaidi mwanachama muhimu wa TLS! Nakushukuru Mungu kwa hilo, lala mahala Pema B.....
Nimepoa dear, niombee saana.. hiki kifo kimeniumaa mnoo mpaka sina la kusema!!Pole mnooooo jamani