Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Sawa sawa mchepuko wangu wa kudumu..
Mimi sijuagi hizo mambo za kuchamba kabisaa!
Mimi sijuagi hizo mambo za kuchamba kabisaa!
HayaSawa sawa
Ukute kitu cha Pilau au kiporo cha mseto wa maharage..[emoji23]unaanzaje kwa mfano kuacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda ubwabwa eeehhh
U Say what? mbona sijaona jamani mi mwenyewe nilishangaa kuona kimya kwl..Halafu tabia yako ni mbaya!!
Ina maana hukuona pm yangu?!
Bora tukufe tu sasa maana hamna namna na siez acha kitu cha NcheleKwakweli waache ufala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana na iyo kitu kabisaaa Ukute kitu cha Pilau au kiporo cha mseto wa maharage..[emoji23]unaanzaje kwa mfano kuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu haupo umeshaisha
MaishaNampindua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mama D huwezi kuniombea msamaha haya mambo yakaisha lakini?
Mrudishe sasaMaisha
Tumetoka mbali saaana jamani, toka Naii mpaka kotela, mamsere, rombo
Naanzaje mimi pambana na huba jipya tu hakuna namnaHivi mama D huwezi kuniombea msamaha haya mambo yakaisha lakini?
Halafu tabia yako ni mbaya!!
Ina maana hukuona pm yangu?!
Nani kwani babu tumeachana?!Mrudishe sasa
Kweli Mbonaili swala ni kweli au mbona sioni kitu!!? hawa jamaa itakua wamefuta nn...[emoji853][emoji853]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitanii