Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Mmmhhh
Mmmhhh
Poa we mzee habari yako
Nzuri sijui wewe, naona December hii ,Heineken zinanyweka wapi?Poa we mzee habari yako
Mimi nipo zangu lindo hizo heineken mda sana sijanywaNzuri sijui wewe, naona December hii ,Heineken zinanyweka wapi?
MTC | 101| [emoji769]
Safi sana tunalinda woteMimi nipo zangu lindo hizo heineken mda sana sijanywa
Waoh safi sanaJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge [emoji847] cheusi mangala mtoto mlito
Hebu nipe namba nirushe 5GB ,kama motisha kwako myluv ShunieJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge [emoji847] cheusi mangala mtoto mlito
Mh mimi nipo zangu job we mzee tunalinda wote kivipi tenaSafi sana tunalinda wote
MTC | 101| [emoji769]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah nimecheka kwa nguvu we mzee
Hahahaha kwann sasa umecheka? Niko serious au 5GB ni ndugu huku mjini kwenu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah nimecheka kwa nguvu we mzee