Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ndio ndio siku moja moja nikiwa busy napitia kwa browser kama hiviEeeeh.... mama D umekuwa wa browser na wewe...
Ndio ndio siku moja moja nikiwa busy napitia kwa browser kama hiviEeeeh.... mama D umekuwa wa browser na wewe...
Hahaha moyo lazima uwe sugu tu ujue ebu niambie kivuli ulikiona wapi kuwa kawa bonge
Apambane na penzi jipya, sijui kama kivuli kitavumilika!!
Naonaga kila siku dada, sema moyo wangu umekuwa sugu!
Hahaha moyo lazima uwe sugu tu ujue ebu niambie kivuli ulikiona wapi kuwa kawa bonge

Hahaha alimtumia new bae au kwa nini haujascreenshot jamani
Kivuli nilikiona kwa browser bana!! Mpaka nikajua ni mshua wake!
Nakuambia penzi limetaradadiii....Hahaha alimtumia new bae au kwa nini haujascreenshot jamani
HahahahahaEbu ngoja kwanza mama jj alitambulishwa na wewe ukipewa utambulisho au jamani jamani napitwq na mengi mimi
Nakuambia penzi limetaradadiii....
Aliituma kwa new bae dada!!
Ninayo, naachaje kuidukua etii

Nilitaka kushangaa wewe ninayekujua unaachaje kudukua ebu fanya kunitumia wozap
Mimi niliwakuta tu na mahaba yao nikashangaa tu nikashindwa vumilia kwakweliHahahahaha
Mara ya kwanza kwenye uzi ule si ulikuwepoo?!
Ndo na mie nikajiengua mapeeemaa!! Sipendagi stress
Nilitaka kushangaa wewe ninayekujua unaachaje kudukua ebu fanya kunitumia wozap

Mimi niliwaacha wajimwambafai tuuMimi niliwakuta tu na mahaba yao nikashangaa tu nikashindwa vumilia kwakweli
Apambane na penzi jipya, sijui kama kivuli kitavumilika!!
Naonaga kila siku dada, sema moyo wangu umekuwa sugu!
Usipige puchu baba endelea na hayo maamuzi baba jj
Sawa sawa mimi nipo jamani nawalindia jukwaa kama hivi
Nimekumiss pia Baba Jj wa watu hakuna namna acha nizoee tu ndio ushemeji ushakufa tena

.Ndio ndio siku moja moja nikiwa busy napitia kwa browser kama hivi
Hahaha moyo lazima uwe sugu tu ujue ebu niambie kivuli ulikiona wapi kuwa kawa bonge