Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eeenh usiniambie umeona wapi nilichungulia uko leo naona zimepostiwa picha kuwa yupo mjini woiii nikasema ndio basi tena huyu sio wetu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Apambane na penzi jipya, sijui kama kivuli kitavumilika!!

Naonaga kila siku dada, sema moyo wangu umekuwa sugu!
 
Back
Top Bottom