Hii Alkasusu sijui Kasusura ni kinywaji gani? Watu wa Dar mna mambo sana hakyanani,
Nina safari ya Tanga, kama kuna mwenyeji na au unamjua mwenyeji Tanga mjini basi tutafutane kuanzia Jtano jioni, nitakuwa hotel moja nzuri, nna hela ya kunitosha mwenyewe, tafadhari mwenyeji aje akiwa kamili kujigharamia endapo atataka kunywa au kula