Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Sawa mkuuJina hili hili
Sawa mkuuJina hili hili
Hahahaha,usioge salimiaMungu azidi kukuweka tu jamani mimi hoi na vimbwanga vyako tu kuna sehemu nakukutaga napitaga kimyakimya mwenyewe najichekea tu
Hatujambo moud habari yako
Nakusalimia na utambue nakumis sanaSawa mkuu
Asante sana kwa kunimiss jamani ubarikiwe mnooNakusalimia na utambue nakumis sana
Unaongea na nani eti mkuuAcheni longolongo semeni mna sh ngp tuunganishe tuchukue nzera mazee
Hapaeleweki kivipi yaani moudSafi Shunie, kinaendelea nini hapa mbona hapaeleweki?
Hahaha huwa nakutana na maneno mazito naogopa mieHahahaha,usioge salimia
Hahahaha, hapana usiogope ,nachangamsha genge tu ,hkn zaidiHahaha huwa nakutana na maneno mazito naogopa mie
Leta ile segment yetu pendwaHapaeleweki kivipi yaani moud
Mzima mkuu habari yakoMakapuku.
Mzima Shunie?
OohHahahaha, hapana usiogope ,nachangamsha genge tu ,hkn zaidi
Niko apa we mzeeLeta ile segment yetu pendwa