Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
20191121_202227.jpg
 
Ukitoa uhusika wao katika "Empire" katika maisha halisi, Ni Mke Na Mume halali kabisa kwa Ndoa. na kwenye Empire ni mtu na mama yake
1254aebfe4a39f8738a53ad2faa5a189.jpg
Wengi mnamjua kama "Jamal Lyon" katika Series ya "Empire" Bonge moja la Vocalist, Na naweza kusema ni mmojawapo ya Watu kama Ukimtoa Cookie na Lucious Basi Jamal Anafuata Kwa kuwa ndio Roho Ya Empire.... Akitoka Mmojawapo kati ya Hao, Waandaaji Watapata Tabu Kidogo. .
.
But katika "Series" tunamuona Kacheza Kama Shoga... Ishu ni Ukweli au Ni Maigizo tu...?? .
.
Jibu, Yes Ni Kweli SHOGA, ukiachana Na Maigizo unayoona.

Daah nilikuwa sijui kama nje ya Empire Jamal ni shoga na uhandsome wote huo jamaniiii
f6e96fa600741bbbc051dca741aa3382.jpg
Wala bongo hakuna wasanii walahi.. Waandaaji wa hii series walijua kujipanga. Mm navutiwa zaidi na michano ya Hakeem na Jamal anavyopiga vocal...
Daah hii series sijui nilichelewa wapi kuiona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom