Yule wa pale kona bar,,juzi kati niligongane nae mitaa flan hivi,,amenona balaa,,,mjomba upo vzr kumbe ndio maana unatembea unaongea peke yako barabaran ,,mkwanja wote unapeleka huko
Salama!Habari
Ndiyo maana nimeitikia mimi apa!
Sijambo mm mbona hapo juu umetoa salaam kavu



Nzuri
HujamboSalama!
UpooHujambo
Mwenyewe simpendi jerryKwa mujibu wa Waandishi, Jerry ndiye mwenye tabia mbaya na Tom ana tabia nzuri. Chaajabu Wengi humuona Tom ana tabia mbaya na Jerry nzuri (Vice Versa).
.
Fahamu Hili Pia, Tom n Jerry Rasmi ilianza kuruka February 10 mwaka 1940 na Kumalizika rasmi September 8 mwaka 1967 ikiwa na Shorts 164 maana Tulikuwa Tufupi fupi sana, Dakika 5 mpaka 10.
![]()
Weekend njema kwako ObeeWeekend njema wadau wema wa jukwaa hili!