Asante shunie,,, u mzima wewePole sana baba wawili jamani Mungu awafanyie wepesi
Salama binamu, habar za furahiday binamu
Furahiday ni nzuri mdau, na kwa kuwa ni ya mwanzo wa mwezi basi mfuko haijafahamika kivile.Salama binamu, habar za furahiday binamu
Binamu naona upepo wa kisulisuli umekupeperusha
Niko mzima baba wawili hofu kwako tuAsante shunie,,, u mzima wewe
Niko poa shunie,, habar za kwako? Weekend iko vipi huko?Niko mzima baba wawili hofu kwako tu
Hali tete binamu, hujalipwa tu zile za koroshowFurahiday ni nzuri mdau, na kwa kuwa ni ya mwanzo wa mwezi basi mfuko haijafahamika kivile.
Vipi wewe
Humu watu naona mmetekwa