Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Nipo shunie, habar za uzima?mambo tu mengi ila nipo shunieBaba wawili ningendako naona umetekwa baba
Nipo shunie, habar za uzima?mambo tu mengi ila nipo shunieBaba wawili ningendako naona umetekwa baba
Asante piaAsante jamani
Sijakuona siku mbili hizi nafurahi kama uko mzima baba wawiliNipo shunie, habar za uzima?mambo tu mengi ila nipo shunie
Hahahaaa...Oooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala
Nimezidisha chenji kimeota nyasi
Sure...This is true
Nipo salama shunie, kuna mambo yalitokea ila kwa sasa kila kitu kinaenda salama..ni kumshukuru Mungu..Sijakuona siku mbili hizi nafurahi kama uko mzima baba wawili
Nilijua umetekwa umepokonywa nywila
Oooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala
Nimezidisha chenji kimeota nyasi
Aisee...Mbaghala
Nilipita dirisha nafasi kuigombania
Ah baba
Kumbe basi limejaa na mlango upo