Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mfyuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfyuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeenh leo tutalinda wote naanza lindo leo na kesho
Huu huu dadaKwa umri gani uliokuwa nao eti
Shikamoo kaka ningendako[emoji4]
Heshima yako dada ake
Naona umefurahi shunie,, najua baadae ntapigwa neno takatifu dada angu tena[emoji2]Ukoo safi kwelikweli naona mnapingana mtu na dada akee
Ooh huo upepo ukileta mahela unistue basiWanagawa chakula wapi tena mimi nipo mlima wa moto huku nasubiri mume wangu wa kisulisuli
Naona unamsalimia mtalaka wako aliyekuacha mamaShikamoo baba wawili
Khaaaaa ebu acha roho mbaya jamani unakuwaje off sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo niko off
Ebu ukooHuu huu dada
Nimefurahi sanaaaaaNaona umefurahi shunie,, najua baadae ntapigwa neno takatifu dada angu tena[emoji2]
Ebu niambie kwanza wapi wanagawa chakulaOoh huo upepo ukileta mahela unistue basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Khaaaaa ebu acha roho mbaya jamani unakuwaje off sasa
Sawa mdogo wangu mzuri mzuriEbu ukoo
Marhaba dada ake, habar za jumapili? wawil hawajamboShikamoo kaka ningendako
....aunt, ndo tunakaribia kufika, upepo umekwama hapa pubWanagawa chakula wapi tena mimi nipo mlima wa moto huku nasubiri mume wangu wa kisulisuli
Hahahaha,kimya kimyaHaha ankoo kumbe unafatilia na wewe
Off sababu nimekwambia leo tunakesha wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Off ndioo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijazifungua ila acha nijichekee tu....aunt, ndo tunakaribia kufika, upepo umekwama hapa pub
View attachment 1239214
View attachment 1239214
Hahahaha ,oooh kumbe ,ila we mzuri bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binamu nimecheka sana mtoto mlito binamu maana yake mtoto flani hivi mzuri flani ila mimi sio mzuri binamu ila napenda kujiita hivyo tu
Uzuri niupate wapi mimi we mzeeHahahaha ,oooh kumbe ,ila we mzuri bana