Mama jana nilimuona habari na hoja....nitakaa huko halafu kisulisuli kinipite!!!?
Naweza bahatika kumpatia mama yenu na Telemundo wangu wasaidizi. Niombee
Hayo malindo yako yasiyoelewekaNajiandaa na lindo
Umekwepa swali langu hivi hivi yaanHahaha baba wawili bwana nini sasa


uko mlima wa moto na mm kesho naenda binamu
Mama jana nilimuona habari na hoja
Abeee dadaHayo malindo yako yasiyoeleweka
Hahahah swali gani hilo baba wawili ebu nikumbusheUmekwepa swali langu hivi hivi yaan![]()






Hahahah hajui kama una presha....kweli,!! Huyu ajue mimi mwenzake nna presha, atulie nitulie. Huu upepo asijifanye hajausikia
Hivi kwa nini unapenda kukesha siku hizi dadaAbeee dada
Hata mie sielewi akiiHivi kwa nini unapenda kukesha siku hizi dada
Hata mie sielewi akii
Kuna umri unafika hata usingizi haukuji aki, sasa niko kwa hiyo age
Acha kabisaa.....usingizi unakata kama mtu asiye na madeni
Kwa umri gani uliokuwa nao etiHata mie sielewi akii
Kuna umri unafika hata usingizi haukuji aki, sasa niko kwa hiyo age
Asante binamu na kwako piaWikend imeisha na mwanzo mwema wa wiki.