Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Woyooooo nani kanunaaaaa nauliza nani kanunaaaaSema kweli akii
Mimi nakuhamu hadi nahisi nachanganyikiwa mpendwa
Hivi anakuteka-ga nani eti!?
Woyooooo nani kanunaaaaa nauliza nani kanunaaaaSema kweli akii
Mimi nakuhamu hadi nahisi nachanganyikiwa mpendwa
Hivi anakuteka-ga nani eti!?
Salama mtoto mlito,, polen na mvuaKwema baba wawili za wewe
Nimefurahi kukuona tena hapa jiranNjema sana jirani
Asante baba wawili jamani uko kwenu jua eenhSalama mtoto mlito,, polen na mvua
Binamu huyo ni samaki mtu eenh
Nimefurahi kukuona tena hapa jiran
Nzuri kabisa shangazi ,sijui weweWe mzee habari yako
HahahahaJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala mtoto mlito![]()
safi sister uko njemaHabari mkuu
Mpambe katika ubora wakoWoyooooo nani kanunaaaaa nauliza nani kanunaaaa
Huku ndo utanielewa zaidi. ..Umeona uje kusemea huku sasa lile gauni mwenyewe kupita shida
Kweli kabisaa akii...Sema kweli akii
Mimi nakuhamu hadi nahisi nachanganyikiwa mpendwa
Hivi anakuteka-ga nani eti!?
Hebuu hukooWoyooooo nani kanunaaaaa nauliza nani kanunaaaa
Wooiiiiiii.........Kweli kabisaa akii...
Mbona hukunizoom nikuje kama kweli wanihamuu...
Najiteka mwenyewe mimi, na hili baridi akiii
Wanaume wamekuwa wachache sana jamaniWooiiiiiii.........
Unajitekaje mwenyewe na baridi lote hili akii