Leo niko lindo
Poa ,za wewe mpendwaVipi tena jamani
Mmmmmmm....mh haya wee......siwezi kumjibu huyu, mimi najibu maswali yako tu my Telemundo.
Halafu ile ya samaki sio kweli, mimi huwa nakula mboga za majani pekee. Unalijua hili mama
Mmmmmmm....mh haya wee
AbeeeeAisee!!
Salama tuu jamani mpendwaPoa ,za wewe mpendwa
AbeeeeDear sister...
MfyuuuEbu lipa uko
Miss yuAbeeee
....umeamka salama my dear lady
Ushaniachaaa ?Nimeamka salama my Telemundo wewe je?
Akili zako unazijua mwenyewe...Ushaniachaaa ?
Mfyuuu
....umeamka salama my dear lady
Tunakupenda pia moud uwe na siku njema mpenzi
Hatujambo moud habari yakoHamjambo humu