Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Sawa mkuuHizo google apps kuziadd siyo ishu na zinafanya kazi vizuri tu bila shida. Unaziadd manually.
Sawa mkuuHizo google apps kuziadd siyo ishu na zinafanya kazi vizuri tu bila shida. Unaziadd manually.
Usikubali uzee ukuendesheSio mimi tatizo huu uzee unaoniandamana
Hahahaaaaaaa
BosiiiiiiiiiSawa mkuu
Sina namna acha nikubaliane na hii hali ya uzee wanguUsikubali uzee ukuendeshe
We mzee nani huwa anakuteka mpaka unapotea hiviHahahaaaaaaa
Boss babewa kwangu mimi peke yangu
Mimi hapaa rohoo yakoooo mimiBoss babewa kwangu mimi peke yangu
Binamu kwanii kuna tatizo ?...aisee, kweli leo ni furahiday.
Sema usisahau kumpitiaa mama wawiliWikend njema wadau. Ndugu yenu nimeanza safari ya kurudi kusini. Nitapita Morogoro kidogo kuogelea kwenye mji kasoro bahari.
Nimeona mjue ili tukigongana Moro isije ikawa kama hatujuani
Sijatekwa , sijapotea nipooooooooooooWe mzee nani huwa anakuteka mpaka unapotea hivi
Uko wapi sasaSijatekwa , sijapotea nipoooooooooooo