Haha shukrani binamu, habar za masikuUmerudi binamu. Pole na kutekwa
Salama habari za kwako dada?Habari za jumapili wandugu
Safi kabisaaNi kwema mama Nah..!
Za weye ?
Inakuhusu si eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii mbona umenitag
Yote yakoYote yangu ?
Hahhhaha....kuna watu wana line 4, huu utafiti naamini utakuwa umewazingatia
Baba wawili huyo nilikumiss mimi [emoji847]Mtoto mlito
Nipo salama pia dada.. Usiku mwemaSalama kabisaa kaka
Za wewe eti
Nilikumiss pia mtoto mlito,, za kutekwa?Baba wawili huyo nilikumiss mimi [emoji847]
Asante sana jamaniNipo salama pia dada.. Usiku mwema
Shukrani[emoji120][emoji120]Asante sana jamani
Nawe pia lala salama
Ahh baba wawili za kutekwa mimi au weweNilikumiss pia mtoto mlito,, za kutekwa?
Hahah wewe mtoto mlito,, nmekuulizia sana, ile namba ulibadiri eehAhh baba wawili za kutekwa mimi au wewe