Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Khaaaa sema kweli binamu....ndo maana mwanaume hata awe anakupenda vipi akipima oil lazima anuse japo kisirisiri
Khaaaa sema kweli binamu....ndo maana mwanaume hata awe anakupenda vipi akipima oil lazima anuse japo kisirisiri
Hahahaha, hivyo hivyoHivi unatakiwa uitike oi oi oi eti we mzee
Binamu naona watu wametekwaNawatakia j3 na wiki Njema wadau wema wa jukwaa hili
Binamu kumbe uko na kitambiWeekend njema wadau. Nimetoka kukimbiza kitambi na maveterani wenzangu, saa hii nakunywa chapati na supu