Hahahaaa....Wewe nakuombea njaa.![]()
![]()
safi mkuu, wanasemaje pande hizo?Salama brother.
Habari ya wewe.
Magazet ya kibongoView attachment 347736View attachment 347737
Cc falcon mombasa upite kushuhudia jinsi Yanga ilivyopasua vichwa magazeti
Huku poa kabisa.safi mkuu, wanasemaje pande hizo?
Wapo ila Briz kaadimika zaidiHivi briz na MANDELAA KIWELU wapo?
Wewe utakuwa mlokole si bure.mbona mapema aisee mimi nikiingia Church kutoka saa 10 jioni au 11
Hongera kwa 37k mkuuUpunguze utani
Hee... Huwa una pepo la kutosalimia siku ya ibada?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hapana mkuu mimi ni muumini wa kawaida tena huwaga sisalimiani na mtu nikitoka direct home mm wa mwisho kuingia ila wakwanza kutoka
Hahahaaa.... Ndo maana huwa anatoka saa 10 jioni.Du...utakuwa unazamia misa ya watoto
Los blancos wameumia sana...hongereni sana Barca.Njema mkuu karibu ulimwengu wa Mabingwa Fc Barcelona
Mi kila kitu kiko sawa ila kuna siku zinagoma yani haiji hata moja kisha baadae zinajirekebisha, tatizo hili ni kwa application ya simu tu kwenye pc sijawahi kulipataNimeona watu wengi sana wanalalamika *TATIZO la notification* ukitumia application ya Jf kwenye simu.
Jaribu kufanya yafuatayo UNAWEZA UKAFANIKIWA.
1.Nenda kwenye settings za simu tafuta kitu kinaitwa *notification center*![]()
Fungua hapo then kitatokea kitu kama hiki hapa chini.Click hapo kwenye jamii forums then SWITCH ON kila kitu, kama hivi hapa chini![]()
![]()
Baada ya hapo zitakuja bila kupenda labda kama simu yako ni kimeo.
2.Njia ya pili ya kukufikisha hapo ni kwa kupitia sehemu ya simu iliyoandikwa phone MANAGER(hii kitu inakuja na simu ukiitafuta utaiona hapo kwenye applications)
click then itafunguka kama hivi hapa chini![]()
Utaona sehemu imeandikwa notification center,click hapo then fuata hizo steps kama kwenye njia ya mwanzo.
I hope itawasaidia BAADHI*
*___________________________*
AmenHuku poa kabisa.
Mungu ni mwema brother.
Kanuni yako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hapana mkuu mimi ni muumini wa kawaida tena huwaga sisalimiani na mtu nikitoka direct home mm wa mwisho kuingia ila wakwanza kutoka

Swadaktaaa Mrs Malmo FFKanuni yako![]()
![]()
![]()
![]()
Nina Maruhani Mkuu.![]()
![]()
![]()
umejuaje mkuu