Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hahaaaaaaa !Hamna bana
Watu wa huko ni visuu
Ujue mimi sitaki nimkosee Mungu..[emoji41]
#Nashindwa kuona Tofauti
Hahaaaaaaa !Hamna bana
Watu wa huko ni visuu
Wewe utakuwa upo wapi eti kivuruge...Hahaaaaaaa !
Ujue mimi sitaki nimkosee Mungu..[emoji41]
#Nashindwa kuona Tofauti
Acha uchokozi wako jamanii kivuruge
Kwani umemaliza palizi baba NaahHahaaaa haaaa
#kesho mimi naondoka
Nimemaliza ..Kwani umemaliza palizi baba Naah
Pole sana jamani kivuruge...Nimemaliza ..
Toka jtano nipo huku..
#nasema sijaona.
Ngoja nirudi kwanza mjiniPole sana jamani kivuruge...
Bora tuu usione wasikuibe babe wangu!
Hahaha hahaha hahahaNgoja nirudi kwanza mjini
#Narudi bila kula mtu
Roho inauma...[emoji22]Hahaha hahaha hahaha
Muone kwanza!
Ulitaka kumkula nani eti
Hahaha hahahaRoho inauma...[emoji22]
Mnyakyusa yoyote mama Naah..
#Sala za mama Nah zimefanya kazi.
Hahaaaa...Hahaha hahaha
Na usije ukajaribuuu...
#Yesu wangu ni kijana
Baridi si uruke kamba hukooo..Hahaaaa...
Hili baridi sio la kawaida..
#Dada wa airport anakuja.
Mama Naah natoa wapi kamba usiku huu lakini [emoji38]?Baridi si uruke kamba hukooo..
Baba Naah kama unataka kuniudhi endelea na huo mpango wako
Sio lazima kamba,.Mama Naah natoa wapi kamba usiku huu lakini [emoji38]?
#Receptionist haeleweki
Sio lazima kamba,.
Basi naomba ulale sasa!Sasa na hili limwili langu si nitaamsha watu...
#nahesabu dakika
Nalala mama...Basi naomba ulale sasa!
Sawa baba Naa wanguNalala mama...
Ngoja nipande kitandani..
#Mtii mke wako.
Ngoja nilale sasa mama Nah..Sawa baba Naa wangu
Nalala baba Naah!Ngoja nilale sasa mama Nah..
Ila na wewe ukalale
.