Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Usiku mwema baby [emoji7]Nalala baba Naah!
Hapa nasinzia macho hazina ushirikiano kabisaaa
Usiku mwema baby [emoji7]Nalala baba Naah!
Hapa nasinzia macho hazina ushirikiano kabisaaa
Asante sana baba Naah!Usiku mwema baby [emoji7]
Love [emoji173] you more my forever friend..!Asante sana baba Naah!
Lala salama kabisaaa jamanii
Yesu akutunze tuu baba Naah wangu na kina Naah...
Wababa kuna ujumbe wenuHeko kwa Wababa wote wa Jukwaa hili. Kuwa baba ni zaidi ya kuweka mimba, ni kuwajibika na kuhakikisha wanaokuita baba wana paa juu ya vichwa vyao.
Baba wawili huyo naona mlitekwaHamjambo humu?
Mungu ni mwema muda wote
[emoji2][emoji2][emoji2]nilikuwa nasindikiza mwezi shunie,btw mambo vp?uko poa wewe?Baba wawili huyo naona mlitekwa
Kaka binge heshima yako[emoji120][emoji120][emoji2][emoji2][emoji2]nilikuwa nasindikiza mwezi shunie,btw mambo vp?uko poa wewe?
Mkuu shikamooSalaamuuuuu
Kaka Ninge heshima yako[emoji120][emoji120]
Kaka Ninge heshima yako[emoji120][emoji120]
Binamu hiKatika forum ya makapuku ni marufuku watu kutungozana na kukulana![emoji41][emoji41][emoji41]