Makapuku Forum

Bailly5

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Messages
16,293
Points
2,000
Bailly5

Bailly5

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2015
16,293 2,000
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.

Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake

Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.

Karibu sana

Bitoz
JF Makapuku Founder

Jimena
JF Makapuku assistant Founder

Th Name JF Makapuku assistant Founder
 
Obe

Obe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2007
Messages
8,724
Points
2,000
Obe

Obe

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2007
8,724 2,000
Jipya binamu ni kukumiss tu

....kama hili ni Jipya basi nami
ninawamiss
na kukumiss
japo leo sio alhamis
na huna umbo la kimiss
wajiita kibonge
Nakuita shangazi
Unavaa bazee

Sijui naandika nini, ila amini tu kuwa muda huu nimeshiba namsubiri mama yenu
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,952
Points
2,000
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,952 2,000
...urithi utasubiri sana, jitahidi mwakani ugombee nitakupigia kura na kukufadhili hela kidogo za kampeni maana nitakuwa nimelipwa hela zangu, hii ni ahadi ya ukakika isiyoaminika
Mi niko Malawi huku uchaguzi umepita
 
Obe

Obe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2007
Messages
8,724
Points
2,000
Obe

Obe

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2007
8,724 2,000
Unajua mi nimkimbizi nitagombeaje?

...duh, nchi imekosa kipaji kumbe wewe ni mkimbizi!? Kwa hiyo unakimbia sana🤔, taifa linatafuta wakimbiaji wa marathoni wewe unakuwa mkimbizi (mkimbiaji) wa Malawi. Sio uzalendo na una hulka za kibeberu wallah
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,952
Points
2,000
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,952 2,000
Mi nilikimbizwa nchini kwa kashifa ya kuwa no beberu na nashirikiana na mabeberu wenzangu kuhujumu matumbo ya watu
...duh, nchi imekosa kipaji kumbe wewe ni mkimbizi!? Kwa hiyo unakimbia sana, taifa linatafuta wakimbiaji wa marathoni wewe unakuwa mkimbizi (mkimbiaji) wa Malawi. Sio uzalendo na una hulka za kibeberu wallah
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top