Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo kaka ningeHamjambo humu?
Mungu ni mwema muda wote
Abeeeeeee
I miss you babe..Abeeeeeee
Miss you more baba Naah!I miss you babe..
Niko kyela huku bhana kwenye lile shamba letu la mpunga...Miss you more baba Naah!
Nani alikuficha eti! Mie mekununia
Miss you more baba Naah!
Nani alikuficha eti! Mie mekununia
Hahaha hahaha hahahaNiko kyela huku bhana kwenye lile shamba letu la mpunga...
#bwana shamba
Sio poa hivyo bana!Ukinuna si inajua nitapumulia mashine lakini..
Nakufa mimi jamaaaani...Sio poa hivyo bana!
Na wewe pumulia mashine kidogo
Usifanye hivyo baaba Naah!Nakufa mimi jamaaaani...
Naenda kujirusha kwenye lile jengo..
Usifanye hivyo baaba Naah!
Mie bado nakuhitaji!
Nisamehe Mimi baba Naah...Usinikazia basi mama Naah..
Nitajirusha jamaani
Mimi si mkulima jamani..Hahaha hahaha hahaha
Mbona hukuniaga eti baba Naah!
Lini umeanza kuwa bwana shamba