Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaa... hapana
Utanikimbia tu
Utanikimbia tu
Wewe si umesema linafika tar 23Sakayo anasalimiwa eti..View attachment 1103965
Nakujua bwanaHahahaa... hapana
Cargo vessel iliwahi..!Wewe si umesema linafika tar 23
Hahahaha, kumbe unateka watu? Naomba na mm uniteke
Hahaha wewe mzee bwana we umeelewa kutekwa vipi yaan
Mie vyovyote, we niteke tu
Hahahaha wewe mzee hapana
Ha ha haHahahaha, kwann, mie Niko radhi we uniteke,hata muda huu
Ha ha ha sehemu zote unapatia,hapo kwenye kudownload pekee ndipo unapokoseaBaba wawili wangu wa kudonload nimekumiss mm ningendako
Ha ha ha ankoo,nakusalimiaMmmh nahisi, sijaelewa acha niongeze bia kadhaa ,nielewe vzr
Hahahaha, ahsante kwa salam ,hujalala Anko ,Naona unamsumbua Shangazi yako Rafiki yangu kipenzi ShunieHa ha ha ankoo,nakusalimia
Shunie hizi quote hata huwa,sizioni kabsa,natumia app,bhasi ni shida sipati notification kwa muda muafakaBaba wawili nimekumiss mm aliyekuteka na huu mfungo akuachie jamani baba wawili wangu wa kudownload ningendako
Mzee mwenzanguHakuna mwenye uhakika wa swaumu yake kwamba ni halali au sio.
Mungu atuzidishie rehema zake na apokee funga zetu maana mitihani na changamoto ni nyingi kwakweli![]()
HahahahaShunie hizi quote hata huwa,sizioni kabsa,natumia app,bhasi ni shida sipati notification kwa muda muafaka
Mfungo unaendelea poa sana,
miss u more kibonge mwepesi
Hahahaha, plz kwa niaba yako njoo, nimefungua PM kwa ajiri yako ,nachunga/nasubiri PM yako Shangazi Rafiki kipenzi ShunieHahhahaha leo nacheka sana sio kwa kuitwa pm huko ww mzee si hupendagi mambo za pm unavyosemaga
Hahaha ankooHahahaha
Hahahaha, Anko mie nasoma tu ,we msumbufu sana kwa Shangazi yakoHahaha bado ankoo,naanda daku ankoo,karbu tujumuike
Hahah nilikuja kumsabahi rafiki yako kipenzi,shangazi yangu Shunie majina yote ya kwake,bado insta bebi pia hahah
😁😁 mzee mwenzangu kumbe umekesha humu?Mzee mwenzangu
Shkamoomzee mwenzangu kumbe umekesha humu?
Baba NaahCargo vessel iliwahi..!
MbebezNakujua bwana