Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Naona umeona mambo ya denda hapoNdio mfungo unanihusu
Naona umeona mambo ya denda hapoNdio mfungo unanihusu
Hahahah hii yangu ya kulazimisha sio kama ya TumosaHahah nimekumiss
Siunajua macho yanaona tuNaona umeona mambo ya denda hapo
😀😀😀Hahahah hii yangu ya kulazimisha sio kama ya Tumosa
Hahaha macho yameona kwenye madenda tuSiunajua macho yanaona tu
Kwakweli hapo ndipo nimeona haraka sanaHahaha macho yameona kwenye madenda tu


Tunakumiss pia mpenzi za ww pole na mfungo
Macho yake nungunungu, akinitazama
Nami nageuka nungunungu, Miba inasimama
Hahhahah mfungo wako unashinda na njaaKwakweli hapo ndipo nimeona haraka sana
Utukaribishe eid basi
Asante mama,,tunaendelea nayo alhamnd
Hahahhaa hit song hiyoKwani hii hit song eti,?
Utukaribishe eid basi
Hahahhaa hit song hiyo
Hakuna mwenye uhakika wa swaumu yake kwamba ni halali au sio.Hahhahah mfungo wako unashinda na njaa